Charlie Chaplin
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Charlie Chaplin (16 Aprili 1889 – 25 Desemba 1977) alikuwa mwigizaji na mtayarishaji filamu maarufu wa Kiingereza. Alikuwa maarufu sana katika kucheza filamu au vichekesho vya kimya-kimya (ambapo zilikukuwa hamna kuongea wala sauti). Aliigiza, aliongoza, alizipanga script na kuziongoza filamu zote zilizokuwa zinamhusu.
Charlie Chaplin alikuwa akifanya kazi hizo takriban kwa miaka 70, alianza akiwa na umri wa miaka mitano, na mpaka ilipofika miaka 80. Sehemu husika alizokuwa akicheza Charlie Chaplin maranyingi iliitwa "the Tramp". Tramp alikuwa mtu mwenye heshima zake, ambaye amevaa koti, suruali likubwa, viatu na kofia nyeusi huku akichekesha watu.
Filamu alizocheza [hariri]
- 1914: Making a Living
- 1916: The Floorwalker
- 1916: The Fireman
- 1916: The Vagabond
- 1916: One A.M.
- 1916: The Count
- 1916: The Pawnshop
- 1916: Behind the Screen
- 1916: The Rink
- 1917: Easy Street
- 1917: The Cure
- 1917: The Immigrant
- 1917: The Adventurer
- 1918: A Dog's Life
- 1918: The Bond
- 1918: Shoulder Arms
- 1919: Sunnyside
- 1919: A Day's Pleasure
- 1921: The Kid
- 1921: The Idle Class
- 1922: Pay Day
- 1923: The Pilgrim
- 1925: The Gold Rush
- 1928: The Circus
- 1931: City Lights
- 1936: Modern Times
- 1940: The Great Dictator
- 1947: Monsieur Verdoux
- 1952: Limelight
- 1957: A King in New York
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
- Tovuti rasmi
- Wasifu
- Filamu
- Charles Chaplin at the Internet Movie Database
- Charles Chaplin katika TCM Movie Database
- Muziki
- Tovuti za mashabiki
- Nyinginezo
- Obituary, NY Times, December 26, 1977 Chaplin's Little Tramp, an Everyman Trying to Gild Cage of Life, Enthralled World
- Chaplin Review
- Charlie Chaplin Photo Galleries
- A collection of tribute webpages to Charlie Chaplin at Classicmovies.org
- Chaplin - An essay by Aaron Hale
- Charlie Chaplin: A WWW Celebration
- Charlie Chaplin FBI File
- The TIME 100: Charlie Chaplin
- Lloyd vs. Chaplin "Who's the Champeen?"
- Download Charlie Chaplin Movies
- Chaplin films at ednapurviance.org
- Charlie Chaplin Videos
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Charlie Chaplin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |