Conrad Aiken
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Conrad Aiken | |
| Picha:Conrad Aiken.jpg |
|
| Amezaliwa | Conrad Potter Aiken 5 Agosti 1889 Georgia, Marekani |
|---|---|
| Amekufa | 17 Agosti 1973 Georgia, Marekani |
| Nchi | Marekani |
Conrad Potter Aiken (5 Agosti 1889 – 17 Agosti 1973) alikuwa mwandishi wa mashairi, hadithi fupi na riwaya kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1930, alipokea Tuzo ya Pulitzer kwa mashairi yake.
| Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Conrad Aiken kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |