Antoni Gaudí
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Antoni Gaudi)
Antoni Plàcid Guillem Gaudí i Cornet (amezaliwa tar. 25 Juni 1852-19 Juni 1926) alikuwa msanifu majengo nchini Hispania (Catalonia). Yeye alisoma katika Escola Tècnica Superior d'Arquitectura mjini Barcelona. Alikuwa maarufu kwa kipekee za miundo.
Picha [hariri]
-
Kanisa la Familia Takatifu Barcelona
-
La Pedrera (Uwindo) Barcelona
-
Casa Batlló (Nyumba ya Batlló, Barcelona
| Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antoni Gaudí kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |