Werner Arber

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Werner Arber, 2018

Werner Arber (amezaliwa 3 Juni 1929) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Uswisi. Hasa alichunguza vipengele mbalimbali vya jeni.

Mwaka wa 1978, pamoja na Daniel Nathans na Hamilton Smith alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.


Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Werner Arber kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.