Torsten Wiesel

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Torsten Nils Wiesel (amezaliwa 3 Juni, 1924) alikuwa daktari kutoka nchi ya Uswidi. Hasa alichunguza jinsi habari za macho zinazofikishwa ubongoni. Mwaka wa 1981, pamoja na Roger Sperry na David Hubel alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Torsten Wiesel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine