Besarioni wa Misri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Besarioni wa Misri alikuwa mmonaki Mkristo kati ya karne ya 4 na ya 5 BK.

Anahesabiwa kati ya mababu wa jangwani, kwa kuwa aliishi kama mkaapweke bila makao maalumu na kwa kuombaomba katika Wadi el-Natrun (Scete au Nitria)[1][2].

Habari zake zinajulikana kupitia kitabu cha Misemo ya Mababa wa Jangwani.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 6 Juni[3], lakini pia 17 Juni au 17 Agosti[4].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Vyanzo kwa Kiswahili[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. http://ocafs.oca.org/FeastSaintsViewer.asp?FSID=101631
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/93026
  3. Martyrologium Romanum
  4. https://catholicsaints.info/saint-bessarion-of-egypt/
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.