Isaac Newton

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Isaac Newton
Principia Mathematica, 1686

Isaac Newton (4 Januari, 164231 Machi, 1727) alikuwa mwanahisabati na mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Anakumbukwa kama mwanasayansi maarufu duniani kutokana na michango yake mbalimbali katika sayansi. Ndiye aliyegundua tawi la calculus na nadharia ya mwendo na uvutano. Newton alipata shahada yake ya kwanza mwaka 1665 na ile ya uzamili mwaka 1668. Mchango mwingine wa Isaac Newton upo katika nadharia ya mwanga, kuona na jinsi rangi zinavyotokea. Nadharia zake zote aliziweka katika vitendo na kukubalika na ndizo zitumikazo hadi leo.

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Quill and ink.svg Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Newton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Isaac Newton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine