Shahada
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shahada inaweza kumaanaisha
- Shahada (Uislamu) ni ungamo la imani katika dini ya Uislamu
- cheo cha kitaalamu kinachotolewa kwa mtu aliyeonyesha utaalamu wake kufutana na masharti ya sayansi kwenye chuo fulani; mfano: daktari, MA, profesa