William Shakespeare

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
William Shakespeare

William Shakespeare (Aprili 1564 - 23 Aprili 1616) alikuwa mwandishi mashuhuri nchini Uingereza.

Waingereza mara nyingi humtazama kuwa ni mwandishi mkuu wa lugha yao. Aliandika hasa maigizo na tamthiliya. Alifanya pia kazi ya uigizaji.

Maigizo yake hupangwa katika vikundi vya

  • michezo tanzia
  • tamthiliya kuchekesha
  • tamthiliya ya kihistoria

Wataalamu wengine hawakubali ya kwamba maandiko yote yanayojulikana kama "Shakespear" yameandikwa na mtu yeye yule. Walio wengi wameridhika ya kwamba huyu Shekespear wa kihistoria mwenyewe alikuwa mwandishi..

Tamthiliya yake[hariri | hariri chanzo]

Kati ya maandiko yake mashuhuri ni:

Mchezo tanzia "Julius Caesar" pamoja na tamthiliya kuchekesha "The Merchant of Venice" imetafsiriwa na Mwalimu Julius Nyerere kwa lugha ya Kiswahili ("Julius Kaisari" na "Mabepari wa Venisi")

[edit] See also

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Open Source Shakespeare

Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu: