Adalbert wa Prague
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Adalbert wa Prague (kwa Kicheki Vojtěch, kwa Kipolandi Wojciech, kwa Kijerumani Adalbert) alizaliwa Libice takriban mwaka 956 – akauawa tarehe 23 Aprili, 997) akiwa askofu mmisionari katika mji wa Prague (Ucheki).
Mwaka 999 alitangazwa kuwa mtakatifu mfiadini.
Sikukuu yake ni tarehe 23 Aprili.
Marejeo [hariri]
- Attwater, Donald and Catherine Rachel John. The Penguin Dictionary of Saints. 3rd edition. New York: Penguin Books, 1993. ISBN 0-14-051312-4.
Viungo vya nje [hariri]
"St. Adalbert (of Bohemia)". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.- Map of Prussia from c 1660 with St. Albrecht location between Tenkitten and Fischhausen, west of Königsberg.
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Adalbert wa Prague kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |