Salim Ahmed Salim
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Salim Ahmed Salim (amezaliwa 23 Januari 1942) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania. Kuanzia tarehe 24 Aprili 1984 hadi tarehe 5 Novemba 1985 alikuwa Waziri Mkuu wa tano wa Tanzania. Alifuatwa na Joseph Sinde Warioba.
Viungo vya nje [hariri]
| Ofisi za Kisiasa | ||
|---|---|---|
| Alitanguliwa na Edward Moringe Sokoine |
Waziri Mkuu wa Tanzania 1984-1985 |
Akafuatiwa na Joseph Sinde Warioba |
| Alitanguliwa na Ali Hassan Mwinyi |
Makamu wa Rais wa Tanzania 1985-1990 |
Akafuatiwa na John Samuel Malecela |
| Nafasi za Kidiplomasia | ||
| Alitanguliwa na Indalecio Liévano |
Rais wa Bunge Kuu la Umoja wa Mataifa 1979-1980 |
Akafuatiwa na Rüdiger von Wechmar |
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Salim Ahmed Salim kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |