Aloysius Balina
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Aloysius Balina (amezaliwa 21 Juni 1945) ni askofu Mkatoliki nchini Tanzania. Aliwekwa wakfu na Papa Yohane Paulo II mwaka wa 1984. Tangu 1997, ni askofu wa Jimbo la Shinyanga.
Viungo vya nje [hariri]
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aloysius Balina kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |