Jua
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jua ni nyota ambayo ni karibu yetu zaidi kuliko nyota nyingine. Inazungukwa na sayari tisa. Dunia yetu ni sehemu ya mfumo wa jua na sayari zake.
Kutokana na myeyungano wa kinyuklia ndani yake jua hutoa nishati ambayo ni muhimu kwa maisha ya mimea na viumbe hai katika dunia. Nishati hii inapatikana kama mwanga, joto na aina mbalimbali za mnururisho.
Mada yake ni katika hali ya utegili yaani kama gesi ya joto sana.
| Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jua kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
| Mfumo wa jua na sayari zake |
|---|
| Jua - Utaridi - Zuhura - Dunia (Mwezi) - Mirihi - Mshtarii - Zohali - Uranus - Neptun |