Biokemia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Biokemia ni elimu ya michakato ya kikemia ndani ya viumbehai. Inachunguza muundo na shughuli za sehemu za seli kama vile protini, kabohidrati, lipidi, homoni, vimeng'enya na mengine.

Kuna molekuli nyingi zinazounda mwili wa binadamu. Biokemia inazichunguza na kuzifanyia utafiti.

Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Biokemia kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu.