Berea

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Berea (leo Veria au Veroia) ni mji wa kale wa huko Masedonia (Ugiriki Kaskazini).

Katika Agano Jipya tunasoma Mtume Paulo pamoja na Sila na Timotheo walivyofanya uinjilishaji huko baada ya kutokea Thesalonike mwaka 50 BK (Mdo 17).

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu maeneo ya Ugiriki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Berea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.