Timotheo
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Timotheo (labda Listra, 17 hivi - Efeso, 97) ni mfuasi mpendwa wa Mtume Paulo, halafu mwandamizi wake.
Anaheshimiwa kama askofu mtakatifu na Kanisa Katoliki hasa tarehe 26 Januari na Waorthodoksi tarehe 22 Januari.
Paulo alimuandikia barua mbili zilizopokewa katika Biblia. Habari zake tunazipata humo na katika Matendo ya Mitume
| Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Timotheo kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |