Sila

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mt. Sila.

'Mtakatifu Sila au Siluano (kwa Kigiriki: Σίλας / Σιλουανός; karne ya 1 AD) ni mmojawapo kati ya viongozi muhimu zaidi wa Kanisa la mwanzo huko Yerusalemu, ambaye alitumwa mara nyingi kushughulikia matatizo mbalimbali akawa mwenzi wa Mtume Paulo katika safari za kimisionari.[1]

Anaheshimiwa na madhehebu mengi ya Ukristo kama mtakatifu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Christian cross.svg Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Sila kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.