Karne ya 3 KK
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ | Milenia ya 2 KK | Milenia ya 1 KK | Milenia ya 1 | ►
◄ | Karne ya 5 KK | Karne ya 4 KK | Karne ya 3 KK | Karne ya 2 KK | Karne ya 1 KK | ►
Miaka ya 290 KK | Miaka ya 280 KK | Miaka ya 270 KK | Miaka ya 260 KK | Miaka ya 250 KK | Miaka ya 240 KK | Miaka ya 230 KK | Miaka ya 220 KK | Miaka ya 210 KK | Miaka ya 200 KK
Yaliyomo |
Wakati wa karne ya 3 KK [hariri]
Karne hii ni kipindi cha
- uenezaji wa mamlaka ya Roma katika Mediteranea ya magharibi
- kuimarika kwa athira ya utamaduni wa Kigiriki kati ya Mediteranea na Uhindi
- kilele cha nguvu ya Ubuddha nchini Uhindi
- mwanzo wa ujenzi wa ukuta mkubwa wa China
Matukio [hariri]
- Mnara wa moto Pharos wajengwa mjini Aleksandria (Misri)
- 275 KK - Mwisho wa historia ya Babeli - wakazi wake wote wahamishwa nje
Watu [hariri]
- Eratosthenes akadiria kipenyo cha dunia kwa vipimo vya kisayansi nchini Misri
Viungo vya nje [hariri]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Karne ya 3 KK kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |