Lango:Sayansi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Milango ya Wikipedia: Sanaa · Utamaduni · Jiografia · Afya · Historia · Hisabati · Sayansi · Falsafa · Dini · Jamii · Teknolojia

Lango la Sayansi

Sayansi ni maarifa yanayopatikana kwa kufanya vitendo, kutazama na kujaribu kweli zilizo bainishwa pasi kuthibitishwa. Msingi wa sayansi ni vitendo. Vitendo vya Kisayansi vina njia zake zinazotumikia kusimamisha kweli ya kisayansi.

Aina za Sayansi

Makala nzuri ya mwezi

Darlingtonia Californica
Darlingtonia Californica
Biolojia ni elimu ya uhai na viumbehai kama vile mimea, wanyama, kuvu (kama uyoga), bakteria na virusi.

Biolojia inaangalia jinsi viumbehai vinavyoishi na jinsi vinavyohusiana kati yao na katika mazingira yao. Lugha ya kisayansi katika biolojia inatumia maneno mengi ya asili ya Kigiriki na Kilatini. Lugha nyingi zimeingiza maneno haya tu katika msamiati wao; katika lugha kadhaa wataalamu wametafsiri sehemu ya maneno haya kwa lugha zao lakini kwa ujumla sehemu kubwa na majina ya kisayansi hufuata utaratibu wa Kigiriki na Kilatini.

Wasifu Uliochaguliwa

Erwin Schrödinger (12 Agosti, 18874 Januari, 1961) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza sifa za mawimbi ndani ya nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1933, pamoja na Paul Dirac alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia. Katika mwaka wa 1935, baada mawasiliano na rafikiye binafsi Albert Einstein, alipendekeza majaribio ya fikra ya Schrödinger's cat.

Je, wajua...?

Vitu unavyoweza kufanya

Masharika ya Wikimedia

Purge server cache