Erwin Schrödinger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Erwin Schrödinger
Tuzo Nobel.png

Erwin Schrödinger (12 Agosti, 18874 Januari, 1961) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Austria. Hasa alichunguza sifa za mawimbi ndani ya nadharia ya kwanta. Mwaka wa 1933, pamoja na Paul Dirac alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erwin Schrödinger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.