Stefano wa Hungaria
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mfalme Stefano I wa Hungaria (kwa Kihungaria (Szent) István}}; kwa Kilatini Sanctus Stephanus; Esztergom, Hungaria, 967 au 969 au 975 – 15 Agosti 1038, Esztergom[1][2][3] au Székesfehérvár, kabla hajabatizwa aliitwa Vajk na kuwa Mtawala mkuu wa Wahungaria (997 – 1000) halafu akawa mfalme wa kwanza wa Hungaria (1000–1038).
Alieneza sana ufalme wake pamoja na Kanisa Katoliki.
Papa Gregori VII alimtangaza mtakatifu pamoja na mwanae, Emeriko wa Hungaria na Gerardo Sagredo tarehe 20 Agosti 1083.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 16 Agosti.
Tanbihi[hariri]
Viungo vya nje[hariri]
- Stephen I, the First Christian Hungarian King (CryingVoice.com)
- His picture on the Hungarian 10,000 forint banknote
- a BBC report on Saint Stephen's day celebrations in Hungary
- Procession of the Holy Right Hand of St. Stephen on Videoactive
"St. Stephen (2)". Catholic Encyclopedia. New York: Robert Appleton Company. 1913.
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Stefano wa Hungaria kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |