Grazia Deledda

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Grazia Deledda

Grazia Deledda (30 Septemba 187115 Agosti 1936) alikuwa mwandishi wa kike kutoka nchi ya Italia. Hasa aliandika riwaya ambazo wahusika wake wametoka kisiwa chake cha Sardinia. Mwaka wa 1926 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Grazia Deledda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.