Sardinia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sardinia (Kiitalia: Sardegna) ni kisiwa kikubwa cha pili katika bahari ya Mediteranea chenye eneo la 24,000 km². Pamoja na visiwa vidogo vya karibu ni jimbo la kujitawala la Italia. Mji mkuu ni Cagliari. Kuna wakazi milioni 1.65.
Tazama pia [hariri]
Viungo vya nje [hariri]
- (Kiitalia) Tovuti rasmi
| Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sardinia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
|
|
|
|---|---|
| Regione kawaida | |
| Abruzzo | Basilicata | Calabria | Campania | Emilia-Romagna | Lazio | Liguria | Lombardia | Marche | Molise | Piemonte | Puglia (Apulia) | Toscana | Umbria | Veneto | | |
| Regione na ya sasa pekee uhuru | |
| Friuli-Venezia Giulia | Sardinia | Sisilia | Trentino-Alto Adige | Valle d'Aosta | |