Eustokia Calafato
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Eustokia Smeralda Calafato wa Messina (Italia) alizaliwa tarehe 25 Machi 1434 akafa tarehe 20 Januari 1485 katika mji huo.
Alikuwa mmonaki, halafu abesi katika Shirika la Mtakatifu Klara.
Maiti yake haijaoza.
Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa mtakatifu bikira tarehe 11 Juni 1988.
Viungo vya nje [hariri]
- Eustochia Calafato. Patron Saints Index. Rudishwa juu ya 2007-12-12.
- http://www.vatican.va/news_services/liturgy/saints/ns_lit_doc_19880611_calafato_it.html Maisha yake kwa Kiitalia
| Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Eustokia Calafato kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |