Gordian III

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kaizari Gordian III

Gordian III (20 Januari, 22511 Februari, 244) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 29 Julai, 238 hadi kifo chake. Aliwafuata makaizari Pupienus na Balbinus ambao alikuwa ametawala chini yao tangu 22 Aprili, 238. Sababu ya kifo chake haijulikani.

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Gordian III kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.