Ivan Shishkin

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Ivan Shishkin

Ivan Ivanovich Shishkin (Kirusi: Иван Иванович Шишкин; 25 Machi, 1832 - 20 Januari, 1898) alikuwa mchoraji wa picha za mandhari kutoka Urusi. Yeye alizaliwa katika Yelabuga na alisoma katika Chuo cha Sanaa, Bombwe na Ujenzi mjini Moscow. Pia alisoma katika Chuo cha Sanaa mjini Sankt Peterburg.


[hariri] Mifano ya picha zake


Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
People.svg Makala hii kuhusu mtu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivan Shishkin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine