Lazaro wa Bethania
Lazaro (kwa Kiebrania אלעזר, Eleazar au Eliezer) ni mtu anayetajwa katika Injili ya Yohane: aliishi Bethania, kijiji karibu na Yerusalemu, pamoja na dada zake Martha na Maria.
Siku ya nne baada ya kifo chake, alifufuliwa na Yesu, jambo lililofanya wengi wamuamini kuwa ndiye Kristo, lakini pia wapinzani wake waharakishe kifo chake.
Lazaro anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, na Waorthodoksi na wengineo kama mtakatifu.
[hariri] Picha
- Paintings of the Resurrection of Lazarus
-
The Resurrection of Lazarus, Russian icon, 15th century, Novgorod school (State Russian Museum, Saint Petersburg)
-
The Raising of Lazarus, Oil on canvas, c. 1517-1519, Sebastiano del Piombo (National Gallery, London)
-
The Raising of Lazarus, Oil on canvas, c. 1609, Michelangelo Merisi da Caravaggio (Museo Regionale, Messina)
-
The Raising of Lazarus, 1630-1631, Rembrandt van Rijn (Los Angeles County Museum of Art, Los Angeles)
-
The Raising of Lazarus, 1540-1545, Rembrandt van Rijn
-
The Raising of Lazarus (after Rembrandt), Oil on paper, 1890, Vincent van Gogh (Van Gogh Museum, Amsterdam)
-
The Raising of Lazarus, 1857, Léon Joseph Florentin Bonnat