Tom Hanks
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Tom Hanks | |
|---|---|
Tom Hanks mnamo 2004 |
|
| Amezaliwa | Thomas Jeffrey Hanks 9 Julai 1956 Concord, California |
| Miaka ya kazi | 1979 - mpaka sasa |
| Ndoa | Samantha Lewes (1978-1987) Rita Wilson (1988- ) |
Tom Hanks (amezaliwa tar. 9 Julai, 1956) ni mwigizaji na mtayarishaji wa filamu kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza uhusika kadha wa kadha.
[hariri] Filamu
Filamu nyingi za mwanzo za Hanks zilikuwa na vichekesho tu. Baada ya hizo, akaongoza hadi katika uigizaji wa kawaida na kuwekza kuonekana katika A League of Their Own na Philadelphia. Lakini mda mfupi akarejea tena katika vimbwanga vyake vya uichekeshaji na kutoa kitu kama Forrest Gump. Hanks amekuwa nyota katika mafilamu mengi ambao ni maarufu. Filamu hizo ni pamoja na Apollo 13, Saving Private Ryan, Toy Story,Cast Away, The Terminal, The Da Vinci Code na The Green Mile.
[hariri] Viungo vya Nje
| Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Tom Hanks kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |