Ben Mottelson

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ben Mottelson, Kopenhagen 1963

Ben Roy Mottelson (amezaliwa 9 Julai 1926) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Baadaye alihamia na kuchukua uraia wa Denmark. Hasa alichunguza nadharia ya atomu na kugundua mfumo isopacha (kwa Kiingereza asymmetrical shapes) wa kiini cha atomu. Mwaka wa 1975, pamoja na Aage Bohr na James Rainwater alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ben Mottelson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.