Anna Semamba Makinda
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anna Semamba Makinda (amezaliwa tar. 15 Julai 1949) ni mbunge wa jimbo la Njombe Kusini katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.
Tazama pia [hariri]
Marejeo [hariri]
- ↑ Mengi kuhusu Anna Semamba Makinda (2 Juni 2008). Rudishwa juu ya 11 Novemba 2011.
| Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |