Plekelmi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Sanamu yake.

Plekelmi (pia: Plechelm, Pleghelm, Plechelmus; Ireland au Britania, karne ya 7Roermond, Uholanzi ya leo, 730 hivi) alikuwa mmonaki askofu maarufu kwa umisionari wake kati ya Wafrisia[1].

Pamoja na wenzake Viro askofu na Odgeri shemasi alianzisha monasteri alimofariki[2].

Alitangazwa na Papa Agapeto II kuwa mtakatifu mwaka 950 hivi.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Julai[3].

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.