Lord Rayleigh
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Lord Rayleigh (12 Novemba, 1842 – 30 Juni, 1919) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Uingereza. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa John William Strutt. Baadhi ya utafiti mwingine aligundua elementi ya agoni. Mwaka wa 1904, pamoja na William Ramsay alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
| Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lord Rayleigh kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |