William Lipscomb

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
William Lipscomb

William Nunn Lipscomb (amezaliwa 9 Desemba 1919) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mfumo wa misombo mbalimbali. Mwaka wa 1976 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu William Lipscomb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.