Zona Gale

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Zona Gale

Amezaliwa 28 Agosti 1874
Wisconsin, Marekani
Amekufa 27 Disemba 1938
Chicago, Marekani
Nchi Marekani
Kazi yake Mwandishi

Zona Gale (26 Agosti 187427 Desemba 1938) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1921, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Tamthiliya kwa tamthiliya yake Miss Lulu Bett.

Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Zona Gale kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.