Idir

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Idir
Taarifa za awali
Jina la kuzaliwaHamid Cheriet
Amezaliwa1949
Amekufa2020
Kazi yakeMwimbaji, mtunzi wa nyimbo, Mtayarishaji wa rekodi, mwanamuziki
AlaSauti, Gitaa, Flute, Tumba
Miaka ya kazi1976–2020

Hamid Cheriet (kwa Kikabyle Ḥamid Ceryat; alijulikana zaidi kwa jina lake la kisanii kama Idir, kwa Kikabyle Yidir; Beni Yenni, Algeria, 1949 - 2020[1]) alikuwa mwanamuziki Mberberi wa Algeria ambaye aliimba muziki wa rai.

Discografia[hariri | hariri chanzo]

Albumu[hariri | hariri chanzo]

(Kwa orodha ndefu kabisa ya nyimbo za albamu ya Idir, tazama diskografia ya Idir kwenye Wikipedia ya Kifaransa)

Mwaka Albamu Chati
peak
FR
[2]
1976 A Vava Inouva
1979 Ay arrac nneɣ (Ay Arrac Negh)
1993 Les chasseurs de lumières
1999 Identités 23
2002 Deux rives, un rêve
2005 Entre scènes et terres (live album) 125
2005 La France des couleurs 22
2013 Idir 43

Single[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Single Chati
peak
FR
[2]
Albamu
2002 "Pourquoi cette pluie?" 64 Deux rives, un rêve

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2002-11-19. Iliwekwa mnamo 2015-12-13.
  2. 2.0 2.1 LesCharts.com Idir discography page. Lescharts.com. Iliwekwa mnamo 2013-02-15.

Vyanzo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]