Friedrich Bergius

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Tuzo Nobel.png

Friedrich Bergius (11 Oktoba, 188430 Machi, 1949) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Ujerumani. Hasa alichunguza ubadilishaji wa dutu mbalimbali, kwa mfano mkaa kuwa petroli, au mbao kuwa sukari. Mwaka wa 1931, pamoja na Carl Bosch alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani wa Ulaya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Friedrich Bergius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine