Petro Claver

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Mt. Pedro Claver, mtume wa Wanegro.

Petro Claver, S.J., (Kihispania: San Pedro Claver Corberó) (Verdu, Urgell, Lleida, Catalonia, Hispania, 26 Juni 1581Cartagena, Kolombia, 8 Septemba 1654) alikuwa padri Mjesuiti mmisionari huko Amerika Kusini.

Kutokana na maisha yake, anaheshimiwa kama mtakatifu msimamizi wa misheni zote za Kanisa Katoliki kwa watu wenye asili ya Afrika.

Papa Pius IX alimtangaza mwenye heri tarehe 16 Julai 1851, na Papa Leo XIII alimfanya mtakatifu tarehe 15 Januari 1888.

Tanbihi [hariri]

Viungo vya nje [hariri]