Willard Libby
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Willard Frank Libby (17 Desemba, 1908 – 8 Septemba, 1980) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa anajulikana kwa kugundua mbinu za kurejea kipindi kupitia kaboni 14. Mwaka wa 1960 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

