1783
Kutoka Wikipedia
[hariri] Matukio
- 3 Septemba - Kufuatana na Mkataba wa Paris, nchi ya Marekani inapata uhuru rasmi kutoka Uingereza.
[hariri] Waliozaliwa
- 24 Julai - Simon Bolivar, mwanasiasa na mwanajeshi katika Amerika ya Kusini aliyeongoza mapambano dhidi ya ukoloni wa Hispania, katika mji wa Caracas (Venezuela)

