Shinya Yamanaka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Shinya Yamanaka

Shinya Yamanaka (amezaliwa 4 Septemba, 1962) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Japani. Hasa alichunguza seli na ubadilishaji wake. Mwaka wa 2012, pamoja na John Gurdon, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.

Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Shinya Yamanaka kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.