Norman Haworth

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Norman Haworth
Tuzo Nobel.png

Walter Norman Haworth (19 Machi, 188319 Machi, 1950) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Uingereza. Hasa anajulikana kwa kuchunguza mfumo wa vitamini C. Mwaka wa 1937, pamoja na Paul Karrer alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia. Mwaka wa 1947 alipewa cheo cha "Sir".

Scientist.svg Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Norman Haworth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Vifaa binafsi
Maeneo ya wiki

Vibadala
Vitendo
Urambazaji
Vifaa
Lugha zingine