Brad Dourif

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Brad Dourif

Brad Dourif, mnamo 2002
Amezaliwa Bradford Claude Dourif
18 Machi 1950
Huntington, West Virginia, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1973-hadi leo
Ndoa Janet Stephanie (1974-1980)
Jonina Dourif (1981-1986)
Watoto 2

Bradford Claude "Brad" Dourif (18 Machi 1950) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani. Anajulikana hasa kwa kuigiza kama Grima Wormtongue katika filamu ya Bwana wa Mapete.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Brad Dourif kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.