Stevie Wonder

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Stevie Wonder
Stevie Wonder
Stevie Wonder
Jina Kamili {{{jina kamili}}}
Jina la kisanii Steve Wonder
Nchi Marekani
Alizaliwa 13 Mei 1950
Aina ya muziki R&B
soul
funk
Motown
Kazi yake Mwimbaji
Mtunzi
Mwanaala
Mtayarishaji
Miaka ya kazi 1961–hadi leo
Ala Sauti
Vyombo tofauti
Kampuni Motown

Stevie Wonder (amezaliwa Saginaw, Michigan, 13 Mei 1950). Jina lake halisi ni Steveland Hardaway Judkins lakini alibadili jina lake la mwisho na kuliweka jina la ndoa la mama yake, Morris.

Ni mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, mtayarishaji, mwanamuziki na mwanaharakati wa haki za binadamu wa Marekani. Amekuwa kipofu tangu kuzaliwa kwake. Wonder amekuwa miongoni mwa wasanii walio wakubwa na wenye mafanikio kujulikana katika studio ya kurekodia ya Motown.

Amerekodi zaidi ya albamu 23 na kutoa vibao vingi vilivyo maarufu kabisa. Alitunga na kuzirekodi mwenye baadhi ya nyimbo zake na za watu wengine vilevile. Wonder vilevile ni mpigaji wa ngoma, gitaa, sinthesaiza, congas, na pia almaarufu kwa kupiga kinanda na harmonica.

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Singles[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Chati
US
[1]
US R&B US Dance US AC UK
1963 "Fingertips - Part 2" 1 - - - -
1966 "Uptight (Everything's Alright)" 3 - - - -
1966 "Blowin' in the Wind" 9 - - - -
1966 "A Place in the Sun" 9 - - - -
1967 "I Was Made to Love Her" 2 - - - 5
1968 "For Once in My Life" 2 - - - 3
1968 "Shoo-Be-Doo-Be-Doo-Da-Day" 7 - - - -
1969 "My Cherie Amour" 4 - - - 4
1969 "Yester-Me, Yester-You, Yesterday" 7 - - - 2
1970 "Never Had A Dream Come True" - - - - 5
1970 "Signed, Sealed, Delivered I'm Yours" 3 - - - -
1970 "Heaven Help Us All" 8 - - - -
1971 "We Can Work It Out" 13 - - - -
1971 "If You Really Love Me" 8 - - - -
1972 "Superstition" 1 - - - -
1973 "You Are the Sunshine of My Life" 1 - - - 3
1973 "Higher Ground" 4 - - - -
1973 "Living for the City" 8 - - - -
1974 "He's Misstra Know It All" - - - - 8
1974 "You Haven't Done Nothin'"
(with The Jackson 5)
1 - - - -
1974 "Boogie On Reggae Woman" 3 - - - -
1977 "I Wish" 1 - - - 4
1977 "Sir Duke" 1 - - - 2
1979 "Send One Your Love" 4 - - - -
1980 "Master Blaster (Jammin)" 3 - - - 2
1980 "I Ain't Gonna Stand For It" - - - - 7
1981 "Lately" - - - - 3
1981 "Happy Birthday" 7 - - - 2
1982 "That Girl" 3 - - - -
1982 "Do I Do" 7 - - - 5
1982 "Ebony and Ivory" (with Paul McCartney) 1 - - - 1
1982 "Ribbon in the Sky" - 9 - - -
1984 "I Just Called to Say I Love You" 1 1 - 1 1
1985 "Part-Time Lover" 1 1 1 1 2
1985 "That's What Friends Are For"
(with Dionne Warwick, Elton John and Gladys Knight)
1 - - - -
1985 "Love Light In Flight" 17 4 6 10 -
1986 "Go Home" 10 2 1 1 -
1986 "Land Of La La" 86 19 - - -
1986 "Overjoyed" 24 8 - 1 -
1987 "Skeletons" 19 1 20 - -
1988 "Get It" (with Michael Jackson) 80 4 - - -
1988 "My Eyes Don t Cry" - 6 12 - -
1988 "You Will Know" 77 1 - - -
1989 "With Each Beat Of My Heart" - 28 - - -
1990 "Keep Our Love Alive" - 24 - - -
1991 "Fun Day (From "Jungle Fever")" - 6 - - -
1991 "Gotta Have You (From "Jungle Fever")" 92 3 - - -
1992 "These Three Words" - 7 - - -
1995 "For Your Love" 53 11 - 30 -
1995 "Tomorrow Robins Will Sing" - 60 - - -
1995 "Treat Myself" - 92 - - -
1999 "Happy Birthday" - 70 - - -
2005 "From The Bottom Of My Heart" - 52 - 25 -
2005 "Shelter In The Rain" - 93 - - -
2005 "So What The Fuss" 96 34 - 40 -

U.S. na UK Albamu[hariri | hariri chanzo]

Mwaka Jina Chati
US
[2]
US R&B UK
[3]
1963 Recorded Live: The 12 Year Old Genius 1 - -
1972 Talking Book 3 - 16
1973 Innervisions 4 - 6
1974 Fulfillingness' First Finale 1 - 5
1976 Songs in the Key of Life 1 - 2
1979 Journey through the Secret Life of Plants 4 - 7
1980 Hotter than Julai 2 - 2
1982 Stevie Wonder's Original Musiquarium 4 - 8
1984 The Woman in Red 4 1 2
1985 In Square Circle 5 1 5
1987 Characters 17 1 33
1995 Conversation Peace 17 2 8
1996 Natural Wonder - 88 -
1997 Song Review A Greatest Hits Collection - 100 19
2000 At the Close of a Century - 100 -
2002 The Definitive Collection 35 28 -
2004 Best Of Stevie Wonder: 20th Century Masters Christmas Collection - 90 -
2005 A Time To Love 5 2 24
2007 Number 1's 171 40 23

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-11-09. Iliwekwa mnamo 2012-11-09.
  2. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-08-26. Iliwekwa mnamo 2009-08-26.
  3. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2012-07-23. Iliwekwa mnamo 2012-07-23.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Stevie Wonder kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.