The Jackson 5

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
The Jackson 5
The Jackson 5, mnamo 1972
The Jackson 5, mnamo 1972
Maelezo ya awali
Asili yake Gary, Indiana, Marekani
Aina ya muziki Motown, R&B, Funk,soul, pop, disco
Miaka ya kazi 1966–1989
Studio Steeltown, Motown, Philadelphia International, Epic
Wanachama wa zamani
Jackie Jackson
Tito Jackson
Jermaine Jackson
Marlon Jackson
Michael Jackson
Randy Jackson

The Jackson 5 lilikuwa kundi la muziki wa roki la nchini Marekani lililoundwa na wanamuziki watano; mmojawapo ni Michael Jackson. Nyimbo zilizoimbwa na kundi hili ni kama "The Love You Save", "I Will Be There", "Mamas Pearl" na "Never Can Say Goodbye".

Kundi[hariri | hariri chanzo]

  1. Jackie Jackson
  2. Tito Jackson
  3. Jermaine Jackson
  4. Marlon Jackson
  5. Michael Jackson

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu The Jackson 5 kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.