Momozono
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Momozono (14 Aprili, 1741 – 31 Agosti, 1762) alikuwa mfalme mkuu wa 116 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Toohito. Tarehe 9 Juni, 1747 alimfuata baba yake, Sakuramachi, na kuwa mfalme hadi kifo chake. Aliyemfuata ni dada yake, Go-Sakuramachi.
| Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Momozono kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |