Mauaji ya kimbari ya Rwanda
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mauaji ya Kimbari ya Rwanda yalikuwa mauaji ya kihalaiki mnamo mwaka wa 1994 ambapo Watutsi na Baadhi ya watu wa kabila la Kihutu waliuliwa na serikali iliyosimamiwa na viongozi wa Kihutu. Katika kipindi cha takriban siku 100, kuanzia kuuliwa kwa Habyarimana na Ntaryamira mnamo tarehe 6 Aprili hadi katikati mwa mwezi Julai, angalau watu 500,000 waliwawa, au karibu asilimia 20% ya idadi ya watu nchini Rwanda wakati huo.
| Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mauaji ya kimbari ya Rwanda kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |