Paul Kagame

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Paul Kagame

Paul Kagame (amezaliwa 23 Oktoba 1957) ni Rais aliopo madarakani nchini Rwanda. Japokuwa ni mmoja kati ya mwanajumuiya ya Watusi, ameonekana kuuanganisha Utusi wake. Huyu ndiye mwusika mkuu wa kuhondosha Uhutu na Utusi na vita kimbari ya nchini humo (Mauji ya Kimbari ya Rwanda). Ingawa, mara nyingi ana tazamika kama dikteta, na kwa kuwa na rekodi mbaya ya ukikwaji wa haki za binaadamu.

Administradors.gif Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Kagame kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.