Kinyonga
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
| Kinyonga | ||||||||||||||
|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Kinyonga wa Kawaida
|
||||||||||||||
| Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||
|
Kinyonga (Kisayansi: Chamaeleonidae) ni aina ya mjusi. Wana miguu kama kasuku, ulimi ndefu na pia aina fulani zina pembe au uwezo wa kugeuka rangi zake. Wanapatikana katika Afrika, Madagaska, Hispania na Ureno, Kusini mwa Asia, Sri Lanka na hata Hawaii, Kalifonia na Florida, na pia wanapatikana msituni mwa mvua au jangwani.
| Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kinyonga kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |