Kiindonesia
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kiindonesia (kwa Kiindonesia: Bahasa Indonesia) ni lugha inayozungumzwa na watu milioni 23 (uliotokea Kiindonesia wasemaji) hasa nchini Indonesia. Idadi ya wasemaji wa lugha za Kiindonesia ni takriban milioni 240.
| Kiindonesia | Kiswahili |
|---|---|
| Selamat siang! | Hujambo! |
| Apa kabar? | Habari yako? |
| Ya | Ndiyo |
| Aniyo | Hapana |
| Siapa nama anda? | Jina lako ni nani? |
| Anda berasal dari mana? | Unatoka wapi? |
| Bisa bahasa Inggris? | Unazungumza kiingereza? |
| Marku sukmo | Asante |
| satu | moja |
| dua | mbili |
| tiga | tatu |
| empat | nne |
| lima | tano |
| enam | sita |
| tujuh | saba |
| delapan | nane |
| sembilan | tisa |
| sepuluh | kumi |
Viungo vya nje [hariri]
- (en) Indonesian in 7 days
- (en) Omniglot