Misri
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Egypt)
|
|||
| Lugha rasmi | Kiarabu | ||
| Mji Mkuu | Cairo-Maadi | ||
| Serikali | Jamhuri | ||
| Rais | Mohamed Morsi | ||
| Waziri Mkuu | Hesham Kandil | ||
| Eneo | 1.001.450 km² | ||
| Wakazi | 79.602.000 (2011) | ||
| Wakazi kwa km² | 76,3 kwa jumla; katika bonde la Nile 1120 | ||
| Uhuru | 26 Julai 1952 kutoka Uingereza | ||
| Pesa | Lira au Pauni ya Misri = 100 Piaster | ||
| Wakati | UTC +2 | ||
| Wimbo ya Taifa | Biladi, Biladi, Biladi (nchi yangu) | ||
| Mahali pa Misri duniani | |||
Misri (kwa Kiarabu: مصر Masr) ni nchi ya Afrika ya Kaskazini-Mashariki.
Rasi ya Sinai ambayo ni sehemu ya Misri huhesabiwa pengine kuwa sehemu ya bara la Asia.
Misri imepakana na Bahari ya Mediteraneo, Israel, Eneo la mamlaka ya Palestina, ghuba la Suez, Mupaka wa Taba-Rafah, ghuba la Aqaba, Bahari ya Shamu, Sudan na Libya.
Nchi hiyo ni kati ya vitovu vya ustaarabu wa binadamu, na kwa sababu hiyo inavutia watalii wengi.
Kwa orodha ya marais wa nchi tangu uhuru, angalia Orodha ya Marais wa Misri.
Dini [hariri]
Wakazi wengi ni waumini wa Uislamu, lakini 10% wanaendelea kufuata Ukristo uliokuwa unatawala kabla ya Waarabu kuteka nchi katika karne ya 7.
Tazama pia [hariri]
Viungo vyo nje [hariri]
- (Kiarabu) (Kiingereza) Tovuti rasmi
| Nchi za Afrika | |
|---|---|
| Afrika ya Kati (Jamhuri ya) | Afrika Kusini | Algeria | Angola | Benin | Botswana | Burkina Faso | Burundi | Cabo Verde | Chad | Cote d'Ivoire | Eritrea | Gabon | Gambia | Ghana | Guinea | Guinea Bisau | Guinea ya Ikweta | Jibuti | Kamerun | Kenya | Komori | Kongo (Jamhuri ya) | Kongo (Jamhuri ya Kidemokrasia ya) | Lesoto | Liberia | Libya | Madagaska | Malawi | Mali | Misri | Morisi (Visiwa vya) | Mauritania | Moroko | Msumbiji | Namibia | Niger | Nigeria | Rwanda | Sahara ya Magharibi | Sao Tome na Principe | Senegal | Shelisheli | Sierra Leone | Somalia | Sudan | Sudan Kusini | Tanzania | Togo | Tunisia | Uganda | Uhabeshi | Uswazi | Zambia | Zimbabwe | |
| Maeneo ya kiafrika ambayo ni sehemu za nchi nje ya Afrika | |
| Ufaransa: Mayotte · Réunion | Hispania: Visiwa vya Kanari · Ceuta · Melilla | Ureno: Visiwa vya Madeira | Uingereza: · Kisiwa cha St. Helena · Kisiwa cha Diego Garcia | |
| Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Misri kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |